MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1989; Unapoteza Zaidi Ya Unachohesabu…
Kama una shilingi elfu kumi, na ukaipoteza kwa kununua kitu ambacho hakina umuhimu wowote kwako, labda umekunywa pombe au kununua nguo ambayo huna uhitaji nayo sana. Utajiambia ni elfu kumi tu nimepoteza, hakuna shida kubwa. Siyo kweli, umepoteza zaidi ya shilingi elfu kumi, tena ukikaa chini na kupiga mahesabu, utajikuta