MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1993; Kuhusu Kufanya Kila Kitu…
Tukiwa tunaendelea na msisitizo kwenye ufanyaji badala ya kupanga na kusubiri, kuna changamoto nyingine ambayo wengi wanaikaribisha. Watu wengi huwa wanataka wafanye kila kitu wao peke yao, na hilo siyo tu linawakwamisha kuanza, bali pia linawafanya washindwe kuzalisha kitu bora na cha kipekee. Huwezi kufanya kila kitu, huna muda wala