MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1994; Sikiliza Ukimya…
Tunaishi kwenye zama za usumbufu, zama ambazo ni vigumu sana kukaa kwenye ukimya na utulivu. Kifaa tunachotembelea nacho kila mahali, yaani simu janja, hua hakitupi kabisa nafasi ya kuwa na ukimya na utulivu. Kila wakati kinatuletea taarifa kwamba kuna watu wanatutafuta, kuna mambo yanaendelea mitandaoni na kadhalika. Hivyo kila wakati