MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1996; Njia Bora Za Kukuza Mtandao Wako…
Kwenye maisha ya mafanikio, unamjua nani ni muhimu kama ilivyo unajua nini. Mtandao wa wale unaowajua na wanaokujua una mchango mkubwa sana kwenye mafanikio yako. Wengi wamekuwa wanahangaika kukuza mitandao yao kwa njia ambazo huwa naita ni za kujipendekeza. Njia za kuhangaika ili uonekane na wewe upo, lakini mtandao unaotengeneza