MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAWEZA KUTENGANA NA MAISHA MUDA WOWOTE…
“You could leave life right now. Let that determine what you do and say and think.” – Marcus Aurelius Jinsi tunavyoendesha maisha yetu, utadhani tunaishi milele, tunapanga mambo na kuyaahirisha kila wakati kama vile tumehakikishiwa huo muda tunaoendelea kuusogeza mbele tunao. Jinsi tunavyochezea muda tulionao, kwa mambo yasiyo na umuhimu,