MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1997; Kama Una Wasiwasi Na Usahihi Wake, Uko Sahihi…
Njia sahihi ya kufanikiwa huwa iko wazi na inaeleweka kirahisi na mtu yeyote yule. Ukiona kuna njia ya mafanikio ambayo huielewi, ambayo una wasiwasi na usahihi wake, basi jua uko sahihi, kwamba njia hiyo siyo sahihi. Hii ni kanuni fupi na rahisi sana itakayokuepusha na matatizo mengi kwenye maisha yako.