MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2002; Mchezo Lazima Uendelee…
Hakuna mtu ambaye kila kitu kinaenda kama alivyopanga kwenye maisha yake. Lakini wapo watu wanaoendelea kufanikiwa licha ya kukutana na vikwazo vingi, huku wengine wakishindwa kwa vikwazo hivyo hivyo. Wale wanaofanikiwa ni wenye mtazamo wa kutoruhusu chochote kiwe kikwazo kwa safari yao. Wanachukulia safari ya mafanikio kama mchezo au onesho