MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2003; Tatizo Siyo Kipaji…
Wakati tunasoma, somo la hisabati lilikuwa linaonekana ni somo gumu kwa wanafunzi walio wengi. Hivyo wale ambao walikuwa wanaliweza somo hilo walionekana kuwa na kipaji. Kulikuwa na kauli kabisa kwamba ‘hesabu ni kipaji’ Kwenye mafanikio pia, wapo wengi wanaoamini kwamba mafanikio yanahitaji mtu uwe na kipaji fulani. Na hapo wanatumia