MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; FANYA AU USIFANYE, USIWEKE SABABU…
“People who want to write either do it or they don’t.” — Octavia Butler Kama kuna kitu unataka kufanya, una machaguo mawili, kukifanya au kutokukifanya. Chochote zaidi ya hayo mawili ni kujidanganya tu. Kama unataka kuandika, unachagua kuandika au kutokuandika, Kujiambia utaandika ukiwa na muda ni kujidanganya. Kama unataka kuanzisha