MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; KITU MUHIMU ZAIDI KWAKO KIFANYA…
“Concentrate on what’s in front of you like a Roman. Do it like it’s the last and most important thing in your life.” – Marcus Aurelius Wengi huanza siku zao wakiwa na mipango mbalimbali, Wanamaliza siku hizo wakiwa wamechoka kweli kweli, Lakini wakiangalia walichofanya, hawaoni. Wamesumbuka siku nzima na kuchoka,