MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2011; Asili Na Soko…
Hivi ni vitu viwili unavyopaswa kuvifuata, unavyopaswa kujifunza na pale unapohitaji maoni au mrejesho, basi angalia kwenye vitu hivyo viwili. Asili ina sheria zake ambazo huwa hazibadiliki kulingana na eneo au hali. Sheria za asili ni za kudumu. Ukizifuata utanufaika nazo, ukizivunja utaadhibiwa. Asili haijali wala haina huruma, inajua njia