MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2013; Umakini Wako Ndiyo Maisha Yako…
Mtu mmoja amewahi kusema niambie mambo unayofanya kila siku kwenye muda wako na nitakuambia wewe ni mtu wa aina gani. Kauli hiyo ina maana kubwa sana, kwa sababu kule ambapo unapeleka umakini wako, ndiyo kunakojenga maisha yako. Vitu vinavyochukua muda wako ndiyo vitu vinavyokujenga. Changamoto kubwa tuliyonayo ni kwamba umakini