MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2017; Urahisi Na Raha Ya Kufanya…
Kanuni muhimu kabisa ya uchumi ni hii, kadiri kitu kinavyopatikana kwa wingi na urahisi, ndivyo thamani yake inakuwa ndogo na watu kutokuwa tayari kulipa gharama kubwa kukipata. Hii ndiyo kanuni unayopaswa kuendesha nayo maisha yako, kupima kila unachotaka kufanya ili kujua thamani yake. Kama unachofanya kinafanywa na kila mtu, usitegemee