MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2018; Watu Wenye Hofu…
Watu wenye hofu huwa wanapenda kuzungukwa na watu wenye hofu. Ungeweza kufikiri kwamba watu hao wangependa kuzungukwa na wasio na hofu, wanaojiamini ili nao washinde hofu zao. Lakini hivyo sivyo ilivyo, watu wenye hofu wanapenda kuzungukwa na wengine wenye hofu ili kuhalalisha hofu zao. Wanachotaka kuamini ni kwamba hofu walizonazo