MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2019; Sifa Za Kuangalia Kwa Mtu Wa Kushirikiana Naye…
Kwenye safari ya mafanikio hakuna jeshi la mtu mmoja, kwamba utafanikiwa kwa kujitegemea wewe peke yako ni kujidanganya. Unahitaji ushirikiano wa watu wengine kwenye maeneo mbalimbali ndiyo uweze kufanikiwa. Kama ni biashara unahitaji kuwa na wabia, unahitaji kuajiri wasaidizi na unahitaji kupata wateja watakaonunua kile unachouza. Lakini kabla hujafika kwa