MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2020; Wakati Ni Huu…
Ni nadra sana kila kitu kwenda kama unavyotaka kiende. Hivyo kuacha kuchukua hatua mpaka wakati uwe sawa, kama unavyotaka wewe, ni kujichelewesha. Katika kila wakati kuna kitu hakitakuwa sawa, kuna changamoto binafsi utakuwa nazo, kuna changamoto za kimazingira au kiuchumi zinaweza kuibuka. Ukitaka sababu ya kutokufanya kitu chochote kile, utaipata