MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2027; Unashindwa Kabla Hata Hujaanza…
Hakuna mtu anayeshindwa kwenye mapambano yoyote wakati yuko kwenye ulingo wa pambano. Mtu anakuwa ameanza pambano akiwa tayari ameshashindwa. Kinachoenda kutokea kwenye pambano ni kukamilisha tu, lakini ushindi au kushindwa kulishatokea kabla. Hebu fikiria mtu anayeenda kwenye pambano akiwa na njia mbadala. Timu inayoingia uwanjani ikiwa na matokeo mbadala, kwamba