MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2028; Hakuna Anayejua Anachofanya…
Mara nyingi nimekuwa nakuambia unaposoma hadithi za mafanikio ya wengine zisome kama sehemu ya kupata hamasa kwamba inawezekana, lakini siyo kwa ajili ya kuiga kile ambacho wao wamefanya. Kwa sababu hata wao wenyewe kama wangeanza tena sasa, na wakafanya kila walichofanya kwa namna walivyofanya kipindi cha nyuma, hawatafanikiwa kama walivyofanikiwa