MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2029; Unataka Kuwa Nani?
Ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Hili ni swali ambalo kila mtu amewahi kuulizwa au kujiuliza kwenye hatua fulani ya maisha yake. Iwe ni wakati mtu yuko kwenye umri mdogo au nafasi ndogo, huwa anakuwa na picha fulani ya mtu atakayekuwa pale atakapokuwa na umri mkubwa au kupata nafasi kubwa zaidi.