MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2030; Unachokasirikia Kinachekesha…
Mambo mengi yanayokukasirisha kwenye maisha, hayana maana kabisa. Hivyo hasira unazojipa ni kupoteza muda na nguvu zako kwa hisia ambazo hazina manufaa. Chukua mfano unapita njiani, ukakutana na mbwa ambaye baada ya kukuona akaanza kubweka. Je utamkasirikia mbwa huyo? Utasema kwa nini akuone wewe na aanze kubweka? Kama utafanya hivyo,