MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; MWANGALIE ANAVYOKUFA, ATAKUFUNDISHA JINSI YA KUISHI.
“Watch her carefully right now,” she said, “because she’s teaching you how to live.” – Anne Lamott, Bird by Bird Kwenye kitabu chake kinachoitwa Bird by Bird mwandishi Anne Lamott anatushirikisha kisa cha rafiki yake aliyefariki kwa saratani. Miezi sita kabla ya kifo cha rafiki yake, Anne alikuwa anawasiliana na