MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2033; Mashujaa Wapya…
Enzi hizi tumekuwa na mashujaa wetu wapya, mashujaa ambao tumewageuza miungu na kuwasujudu. Mashujaa ambao hakuna walichofanya ambacho tunaweza kujifunza kwao, lakini tunawakubali na kuwaangalia kama mfano. Mashujaa wa sasa wanapimwa na wingi wa wafuasi kwenye mitandao ya kijamii. Umaarufu unapimwa kwa namna mtu anavyoongelewa na wengine kwenye mitandao na