MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2036; Mjasiriamali Au Mfanyabiashara?
Tofauti ya mjasiriamali na mfanyabiashara ni mjasiriamali yuko tayari kuchukua hatua za hatari ambazo hana uhakika na matokeo yake. Huku mfanyabiashara akichukua hatua ambazo zina uhakika na akiangalia zaidi faida kuliko kitu kingine. Mjasiriamali anaitaka faida, lakini kuna kitu kingine kikubwa zaidi kinachomsukuma ukiacha faida. Anakuwa na maono makubwa, kusudi