MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2037; Nusa Hatari…
Kila kiumbe hai anakuja duniani akiwa na njia mbalimbali za kumkinga na hatari atakazokabiliana nazo kwenye mazingira yake. Simba wana meno makali na nguvu za kuweza kupata chakula chao na pia kujikinga na maadui. Swala wana masikio yenye kunasa haraka na mbio kali za kuwawezesha kukimbia hatari ya simba. Ndege