MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2039; Mseto Toleo La Kwanza.
Huwa najifunza vitu vingi nikiwa nasoma vitabu, insha na makala mbalimbali mtandaoni. Na huwa ninanakili baadhi ya vitu ambavyo baadaye naweza kuvitumia kwenye makala mbalimbali ninazoziandika. Lakini kasi ya kukusanya vitu vya kuandika imekuwa kubwa kuliko kasi ya kuviandika. Nimebadili kifaa ninachotumia kutunza yale niliyoandika kwa ajili ya kujumuisha kwenye