MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2041; Usijidanganye, Siyo Dakika Moja…
Fikiria unafanya kazi ambayo inahitaji umakini wako, ghafla unaingia ujumbe kwenye simu yako. Unajiambia utauangalia na kuujibu kisha kurudi kwenye kazi yako, itakuchukua dakika moja tu. Hapo jua wazi kwamba unajidanganya, siyo dakika moja utakayotumia kuangalia na kujibu ujumbe kisha kurudi kwenye kazi, itakuchukua muda mrefu zaidi ya hapo. Kitendo