MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; SUMU TATU ZA KUEPUKA…
“Any fool can criticize, condemn and complain—and most fools do. But it takes character and self-control to be understanding and forgiving.” – Dale Carnegie Ukitaka kurahisisha maisha yako, angalia wengi wanafanya nini kisha usifanye kama wao. Hii ni kwa sababu wengi huwa hawafanyi kilicho sahihi, bali wanafanya kilichozoeleka. Kuna sumu