MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2042; Hitaji La Watu Kuamini…
Watu huwa wana hitaji kubwa la kuamini kwenye kitu chochote kile. Na hivyo watatafuta chochote wanachoweza kukiamini na kwenda nacho. Maisha yetu wanadamu ni magumu sana bila ya kuwa na imani kwenye kitu fulani. Pale mambo yanapokuwa magumu na changamoto kuwakabili watu, kinachowawezesha kuvuka ni kile wanachoamini. Hii ndiyo maana