MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2043; Omba Samahani, Usitoe Visingizio…
Charlie Munger kwenye moja ya ushauri wake kwa vijana aliwaeleza mambo muhimu ya kuzingatia kwenye maisha ili waweze kufanikiwa. Kwanza aliwaambia wanapaswa chochote kile kwa ubora wa hali ya juu sana, kadiri ya uwezo wao. Pili aliwaambia wasidanganye, mara zote waseme ukweli hata kama unaumiza kiasi gani. Tatu aliwaambia kutekeleza