MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2044; Ogopa Sana Mafanikio Ya Haraka…
Mafanikio ya haraka, ambayo pia humfanya mtu kuwa maarufu kwa muda mrefu, huwa yanatokana na bahati fulani ambayo mtu amekutana nayo. Lakini kwa kuwa sisi binadamu huwa tunapenda hadithi, na bahati haitengenezi hadithi nzuri, basi watu hutengeneza hadithi nyingine inayovutia kwenye mafanikio hayo ya haraka. Inaweza kuwa hadithi inayoeleweka vizuri,