MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2045; Jiwekee Vigezo Vya Kuzingatia Wakati Wa Kufanya Maamuzi Makubwa…
Bilionea mwekezaji Warren Buffett huwa anashirikisha vigezo vyake vinne ambavyo huwa anavitumia kufanya maamuzi ya uwekezaji. Vigezo hivyo ni kama ifuatavyo; Je ninauelewa uwekezaji huu? Kama hauelewi basi hawekezi, hata kama unaonekana kuwa na faida kubwa. Je uwekezaji huu una kitu cha kuutofautisha na wengine, kama ni biashara ina kitu