MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2046; Maumivu Kama Mtaji…
Ni asili yetu binadamu kuyakimbia maumivu, huwa hatuyapendi, kwa sababu yanaumiza. Lakini wote tuna ushahidi ni jinsi gani maumivu mbalimbali yalivyokuja na manufaa kwenye maisha yetu. Maumivu uliyowahi kupata kwenye mahusiano yalikusaidia kupata watu walio sahihi. Maumivu uliyopata kwenye ajira yalikusukuma kujiajiri. Maumivu uliyoyapata kwa biashara kuwa ndogo yakakusukuma kuikuza