MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2049; Huhitaji Kuibadili Dunia, Bali Unapaswa Kubadili Hiki…
Watu wamekuwa wanajipa majukumu ambayo siyo tu yako nje ya uwezo wao, bali pia yanawapoteza. Yanawapoteza kwa sababu nguvu wanazotumia kuhangaika na majukumu hayo, ni nguvu ambazo hawawezi kuzitumia kwenye yale muhimu kwao, hivyo zinapotea na hawapati matokeo yoyote mazuri. Dhana kwamba unataka kuibadili dunia ni moja ya majukumu ambayo