MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2053; Hatima Yako Haijapangwa, Unaipanga Mwenyewe Kila Siku…
Ukichukua mahindi na kuyaweka kwenye mashine ya kukoboa, yanatoka makande. Ukichukua mahindi hayo hayo na kuyaweka kwenye mashine ya kusaga, unapata unga. Umeanza na kitu kimoja lakini matokeo ni tofauti kwa sababu ya utofauti wa mashine. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye maisha yetu, Kesho yako inategemea zaidi jinsi ulivyo leo.