MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2054; Watatuangalia Na Kucheka…
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hatujifunzi kupitia historia. Ukiangalia hapa duniani, mambo ni yale yale, yamekuwa yanakuja kwa njia tofauti. Hivyo kama tungekuwa tunajifunza kupitia historia, tungeepuka kurudia makosa yanayotugharimu. Lakini hatujifunzi kupitia historia, ndiyo maana tunarudia makosa yale yale na yanatugharimu sana.