MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2055; Hakikisha Hukosi Hivi Viwili…
Watu wengi hawajafanikiwa na wengi zaidi hawatafanikiwa kwa sababu wanakosa viungo viwili muhimu sana kwenye mafanikio ya aina yoyote ile. Kiungo cha kwanza ni msimamo, kufanya jambo kwa kurudia rudia bila ya kuacha. Hili linaonekana wazi, ukiangalia waliofanikiwa, huwa wamefanya kitu hicho kwa muda mrefu. Lakini waangalie walioshindwa, katika