MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2058; Siyo Ilivyo, Bali Ulivyo…
Kila mmoja wetu ni kama amevaa miwani ya rangi ambayo anaitumia kuiangalia dunia. Kama umewahi kuvaa miwani yenye rangi, unajua kila unachoangalia kitakuwa na rangi ya miwani hiyo. Hivyo siyo kwamba vitu hivyo vimebadilika rangi, bali miwani imekufanya uvione kwa rangi hiyo. Kila mmoja wetu ana miwani anayoitumia kuiangalia dunia,