MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2059; Ndoano Ya Kunasa Umakini…
Ukitaka kuvua samaki, unakuwa na ndoano ambayo unaiwekea chambo na kisha kuweka kwenye maji yenye samaki. Samaki akiwa kwenye pita pita zake za kutafuta chakula, anaona chakula kizuri, anakifuata, anakula na kujikuta amenasa kwenye ndoano na hapo anavuliwa. Ni kwa njia hiyo pia umakini wa watu umekuwa unashikwa, hasa mtandaoni.