MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2060; Mipango Ni Kama Ramani…
Kama umewahi kutumia ramani kufika mahali au kukamilisha jambo, unajua wazi kabisa uhalisia huwa hauendi kama ramani kwa asilimia 100. Hata kama ni ramani ya nyumba umechorewa vizuri, ukaipenda kweli kweli na ukawa na kiasi cha fedha cha kutosha kutekeleza kila kilichopo kwenye ramani, bado nyumba iliyokamilika haitafanana na ramani