MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2062; Ubobezi Uko Kwenye Vitu Vidogo Vidogo…
Ukitapa kufikia ubobezi na mafanikio kwenye eneo lolote la maisha yako, unapaswa kuweka juhudi zako kwenye vitu vidogo vidogo, ambavyo ndiyo msingi mkuu wa eneo hilo. Na siyo tu kuvijua, maana tayari unavijua, bali kuvifanya. Angalia eneo la fedha, msingi mkuu uko kwenye kupunguza matumizi, kuongeza kipato na kuwekeza. Hakuna