MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2063; Mtego Uliopo Kwenye Furaha…
Kinachowafanya wasanii au watu wengine maarufu kuingia kwenye madawa ya kulevya ni hiki. Kazi zao zinahusisha kutoa burudani au huduma kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Pale wanapokuwa wanafanya kazi yao, wanakuwa kwenye furaha ya hali ya juu sana. Fikiria msanii anafanya tamasha linalohudhuriwa na watu zaidi ya elfu 10