MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NJIA YA UHAKIKA YA KUMALIZA MATATIZO YAKO…
“If you could only know who you are, all your troubles would seem utterly unnecessary and trivial.” – Leo Tolstoy Sehemu kubwa ya matatizo ambayo unapitia kwenye maisha, yanatokana na mtu kutokujijua wewe mwenyewe. Unahangaika na mambo mengi kwa sababu hujajijua kwa undani. Unafuata kila ambacho wengine wanakuambia lakini bado