MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2069; Gharama Ya Umaarufu…
Kila mtu huwa anapenda kuwa maarufu, lakini wengi huwa hawajui gharama kubwa ambayo umaarufu inakuja nayo. Wengi hukazana kufikia umaarufu na wanapoufikia wanajuta kwa nini walikuwa wanautafuta. Hasa pale wanapokuwa maarufu kwa sababu walikuwa wanatafuta umaarufu na siyo kwa sababu kuna kitu kikubwa wamefanya. Gharama kubwa ya umaarufu ni kukosa