MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2071; Umekokotoa Gharama Ambatanishi?
Tunaponunua kitu, huwa tunaangalia gharama tunayoingia kwenye kununua kitu hicho wakati wa matumizi. Hivyo kama gharama tunaweza kuimudu, tunanunua. Kuna gharama za msingi na muhimu zaidi kuangalia kuliko ile tu ya kununua. Gharama hizo ni zile endelevu, ambazo zinaambatana na kitu ulichonunua. Kwa vitu vilivyo wazi kwa gharama zake, huwa