MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2075; Magumu Matatu Ya Kiroho…
Utulivu umekuwa ni kitu kigumu kwenye zama tunazoishi sasa. Maelewano pia yamekuwa siyo mazuri. Hali hizi zinachochewa na magumu matatu ya kiroho ambayo wengi wanayapitia kwenye zama tunazoishi sasa. Ugumu wa kwanza ni kuwapenda wale wanaokuchukia. Ni rahisi kusema adui mpende, lakini inapotokea mtu amefanya jambo linalokukwaza, kukuumiza au kukuangusha,