MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2077; Umaarufu Au Uaminifu?
Kwa zama tunazoishi sasa, wengi wanaona njia rahisi ya kufikia mafanikio makubwa ni umaarufu. Kwamba kadiri watu wengi zaidi wanavyokujua ndivyo unavyopata mafanikio makubwa. Ni rahisi kufikiria hivyo kabla mtu hujafika kwenye ngazi hiyo ya umaarufu. Lakini wale waliofika kwenye ngazi hiyo, hugundua haiwapi uhuru. Wakishakuwa maarufu maisha yanaacha kuwa