MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2078; Akili Za Kushikiwa…
Umeamka asubuhi, hujapangilia siku yako itakwendaje, unaona uingie mtandaoni kidogo au ufuatilie habari. Huko unakutana na habari moto moto, kuhusu msanii aliyefanya jambo la ajabu au mwanasiasa aliyetoa kauli ya hovyo au habari mpasuko za kusisimua. Siku yako nzima inaendeshwa na habari ulizosikia, unabishana, kupinga au kukubaliana na habari husika