MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2080; Mambo Matatu Yatakayokujengea Heshima…
Sifa ambayo mtu unajijengea, ina mchango mkubwa sana kwenye mafanikio au kushindwa kwako. Kuna watu wanashangaa kwa nini mambo yao hayaendi sasa, lakini wamesahau ambayo wamewahi kufanya huko nyuma na sasa ni kikwazo kwao. Ili kuhakikisha hujijengei sifa mbaya inayokuwa kikwazo kwa mafanikio yako, hapa kuna mambo matatu muhimu ya