MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2081; Kanuni Ya Maisha Rahisi Kutoka Kwa Epictetus…
Maisha ni magumu, lakini huwa tunayafanya kuwa magumu zaidi kwa baadhi ya mambo tunayohangaika nayo. Wastoa, hasa mwanafalsafa Epictetus alikuwa akisisitiza sana kujua mambo yaliyo ndani ya uwezo wako na kujishughulisha nayo na kujua yale yaliyo nje ya uwezo wako na yasikusumbue. Katika mwendelezo wa hilo, Epictetus anatushirikisha kanuni ya