MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2084; Kukuza Hofu Au Kuchukua Hatua…
Kwa kila jambo unalopanga kufanya, kuna hatari ya kupata matokeo mabaya na hivyo kushindwa. Kila kitu kina hatari hiyo, hata uwe na uhakika kiasi gani. Hatari hiyo huwa inazalisha hofu ndani yetu, lakini kiwango cha hofu tunayokuwa nayo, huwa hakilingani na kiwango cha hatari. Hofu tunayokuwa nayo hua inakua kadiri